Mashine inayotengeneza tani 30 za barafu kwa siku?!
一台每天制造30吨冰的机器?!
Leo tunaenda shenzhen,kwa safari ya ukaguzi wa kiwanda kinachozalisha ice flakes machine,bao an wilaya ni miongoni mwa wilaya mpya za shenzhen,ni sehemu nzuri sana ya kufungua kiwanda,kimeunganishwa vizuri sana. Guangzhou, mwendo wa chini ya saa 2 kwa gari ukiwa na trafiki ya wastani.
今天我們要去深圳,参观一家生产冰片的工厂,
宝安区是深圳市新开发区之一,
這是个开工厂的好地方,
它与广州的交通很好,开车不到两个小时,交通很好.
Tazama kwenye YouTube
https://www.youtube.com/watch?v=JvvPdfF6c1k&t=4s
;
Mashine ya kutengeneza vipande vya barafu, ni mashine kubwa ya kutengeneza vipande vya barafu kwa matumizi ya kibiashara, kama vile uvuvi kwa mfano,
Saizi ambayo mteja wetu aliagiza hutoa tani 3 za vipande vya barafu kila siku
Kiwanda hiki kinachotengeneza mashine kwa ajili yetu, kinaweza kutengeneza mashine zenye uwezo tofauti,
ndogo ni kilo 500 kwa siku, na kubwa inaweza kuzalisha hadi tani 30 za barafu kwa siku.
冰片制造机是一种生产商业用冰片的大型机器,例如钓鱼,
我們客户订购的尺寸每天生产3吨冰片
這家為我們生产机器的工厂,可以生产不同容量的机器,
最小的一天500公斤,最大的一天能产30吨冰
Kontena la mashine hii likifika kwa mteja wetu barani Afrika, hatapata shida ya kuunganisha mashine na kuiwasha.
Injini itawekwa juu ya chombo cha barafu,
kisha tunaunganisha mashine na usambazaji wa umeme,
当這台机器的集装箱到达我們在非洲的客户那裡时,他們将不会发现组装机器和打开机墙的门
发动机将安装在冰柜的顶部,
然后我們把机器接上电源,
na kwa sababu ya masafa tofauti ya umeme kwa nchi tofauti, kiwanda lazima kijue nchi inakoenda mashine hii ili kuirekebisha kwa njia ifaayo.
Jambo la mwisho ni kuunganisha mashine na chanzo cha maji, na kuifungua, na itaanza kufanya vipande vya barafu
由于不同国家的用电频率不同,工厂必须知道這台机器的目的国才能正确地调整它,
最后一件事是把机器和水源连接起來,打开它,它就会开始制造冰片.
Muda wa kutuma: Jul-11-2020